alt text

Ganoderma Plus Capsule


Viungo:


Ganoderma Plus Capsule Spora ganoderma, Cordyceps Sinensis Mycelium, Radix Ginseng

Kazi Na Faida Zake



Yafaa Kutumika Kwa:


Maelezo Muhimu:


Kusaidia Kinga Za Mwili:
Katika kitabu cha Compendium Of Materia Medica, ganoderma imeitwa nyasi za kimiujiza, "Supernatural grass". Ganoderma ina ganoderma amylose, triterpenoids za ganoderma lucidum, alkaloid na amino acids 17, germanium asilia, selenium asilia na elementi nyingine adimu. Ganoderma inapendekezwa kuwa ni kitu cha kusaidia kinga za mwili kwa muda mrefu.

Kuzuia Saratani:
Utendaji kazi wa ganoderma spore ni mara 80 zaidi ya ule wa ganoderma. Ganoderma spore inaweza kuimarisha kinga za mwili za seli, na hivyo kuziwezesha kurudia hali ya kawaida baada ya tiba ya mionzi, tiba ya chemotherapy au upasuaji.

Kulinda Ini :
Mchanganyiko wa ganoderma, cordyceps na ginseng hufanya kazi vizuri katika kulilinda ini. Ina uwezo wa kupunguza SGOT na SGPT (vimeng'enya vya ini ambavyo ni ishara ya matatizo katika ini). Kwa kulisaidia ini, kasi ya uvunjwaji wa cholesterol huongezeka na kupunguza kiwango cha cholesterol katika damu.

Afya Ya Moyo Na Mishipa Ya Moyo:
Ganoderma huzuia kujikusanya kwa platelet katika damu hivyo kuboresha mtiririko wa damu. Inaboresha pia uchukuliwaji wa oksijeni katika damu na hivyo kuongeza matumizi ya oksijeni kwenye viungo vya mwili, kama moyo na ubongo.

Ganoderma Plus





<<<<< MWANZO